Habari za Punde

BALOZI KIDATA AMUAGA MAKAMU WA RAIS LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alphayo Kidata aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuaga kabla ya kwenda kwenye kituo chake kipya cha kazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alphayo Kidata aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuaga kabla ya kwenda kwenye kituo chake kipya cha kazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja  na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Alphayo Kidata mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuaga kabla ya kwenda kwenye kituo chake kipya cha kazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.