Habari za Punde

Mafunzo ya Urefarii Wa Mpira wa Miguu Kwa Vijana Wadogo Zanzibar.Wahamasisha Wototo.

Jumla ya Vijana 28 wamejitokeza katika mafunzo ya kujifunza kuchezesha mchezo wa mpira wa miguu Zanzibar wakiwa chini ya Mkufunzi Refarii Mstaaf wa Zanzibar Ramadhan Kibo, akiwanoa Vijana hao kuwa warithi wa fani hiyo Kisiwani Zanzibar.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.