Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AJUMUIKA NA WATU MBALI MBALI MKOANI DODOMA WAKATI WA FUTARI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Dodoma Bi. Jamila Yusuph wakati wa Futari iliyoandaliwa na Mheshimiwa Makamu wa Rais jana jioni tarehe 23 Mei, 2018 kwenye makazi yake Ikulu Ndogo, Kilimani Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mtoto Samiri Abdallah wa kituo cha kulelea na kuwasomesha watoto yatima cha Zam Zam kilichoo Miyuji Dodoma wakati wa Futari iliyoandaliwa na Mheshimiwa Makamu wa Rais jana jioni tarehe 23 Mei, 2018 kwenye makazi yake Ikulu Ndogo, Kilimani Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.