Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemeid Suleiman Atembelea Soko la Chakechake leo.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, katikati mwenye koti akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe.Rashid Khalid Rashid wa kwanza kulia. wakitembelea Soko la Chakechake kuangalia bidhaa na kuwataka wafanyabiashara wa Soko hilo kuacha mtindo wa kupandisha bei kwa bidhaa mbalimbali zinazopatikana hapo ili kutowa unafuu kwa wananchi wanaofika kupata mahitaji yao kwa ajili ya futari katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. 
MRATIB wa Damu salama Kisiwani Pemba Dk Abdi Kassim, akikusanya uniti za damu zilizopatikana katika bonanza la wachangiaji damu Mkoa wa Kusini Pemba, ambapo uniti 271 zilipatikana katika bonanza hilo.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.