Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
(kulia) akizungumza na msimamizi wa eneo lililotumiwa na Rais wa kwanza wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kufanya
vikao na wapigania uhuru wa Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa
Bara la Afrika alipotembelea eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiangalia
mti ujulikanao kwa jina la Mkuyu uliooteshwa kipindi cha harakati za ukombozi
wa Bara la Afrika katika eneo ambalo Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilitumia kufanya vikao na wapigania
uhuru wa Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa Bara la Afrika
alipotembelea eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza
na wasimamizi wa eneo ambalo Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilitumia kufanya vikao na wapigania uhuru wa
Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa Bara la Afrika alipotembelea
eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii. Kulia ni Katibu Tawala Wilaya
ya Nyamagana Bw. Yohana Jonas
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) katika
picha ya pamoja na ujumbe kutoka Jiji la Mwanza na wasimamiaji wa eneo ambalo Rais wa kwanza wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilitumia kufanya
vikao na wapigania uhuru wa Bara la Afrika wakati wa harakati za ukombozi wa
Bara la Afrika alipotembelea eneo hilo lililopo Jijini Mwanza mapema wiki hii.
No comments:
Post a Comment