Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said Afanya Ziara Kutembelea Chuo cha Kikuu cha Zanzibar (ZU).

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akisalimiana na Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu Zanzibar (ZU) Pr. Musta Roshash alipofika ofisini kwake Chuoni hapo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akisaini kitabu cha Wageni baada ya kufanya ziara ya kutembelea Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU).
 MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said katikati akizungumza na Wakuu wa chuo hicho kushoto kweke ni Makamo Mkuu wa Chuo hicho Pr. Musta Roshash kulia ni Mkuu wa Utawala Ahmad Majid Ali.
MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akizungumza na baadhi ya  wanfunzi  wanaotoka Nje ya Nchi ya Tanzania alipofanya ziara ya kutembelea chuoni hapo.
MWANAFUNZI kutoka Nchi ya Zambia Cristina akizungumzia changamoto na mafanikio mbalimbali zinazowakabili chuoni hapo.
MWANAFUNZI kutoka Nchi ya Malawi Hassan akichangia baadhi ya changamoto wanazozipata na kumtaka Mwakilishi huyo kuwasaidia kuzitatua changamoto hizo.
BAADHI ya Wanafunzi kutoka Nje ya Nchi yaTanzania wakimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu alipofanya ziara ya kutembelea Chuoni hapo.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.Simai Mohamed Said akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Chuo Kikuu Tunguu Zanzibar wakati wa ziara yake.
(Picha na Abdalla Omar Maelezo - Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.