Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Yafutarisha Wateja Wake Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ) akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Khalid Salum Katibu Mkuu Ndg. Khamis Mussa na Wajumbe wa Bodi wakimsubiri Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamred Shein, kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria Futari ilioandaliwa na PBZ kujumuika na Wateja wake katika katika futari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited Ndg. Juma Ameir Hafidh akisalimiana na kumkaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na Uongozi wa PBZ Islamic Bank. kwa ajili ya Wateja wao.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.