Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar Kuchangia Hutuba ya Bajeti ya Serikali.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akichangia Hutuba ya Bajeti Kuu ya SMZ, akisoma kitabu cha bajeti wakati akichangia, katima Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar. 
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akisisitiza jambo wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Mwanaasha akiongoza Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar wakati wa kuchangia Hutuba ya Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2018/2019. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.