Habari za Punde

Taarifa ya Kuandama Kwa Mwezi

Taarifa ya kuandama kwa mwezi umeonekana katika maeneo ya

  Fundo Pemba, Rufiji na Morogoro. Mwenyeenzi Mungu azikubali Saumu zetu, dua zetu na maombi yetu. Pia atusamehe makosa yetu na kutujaalia mapenzi na maelewano baina yetu, awape afya njema na tahfif wagonjwa na wenye shida mbali mbali. Ameen Thumma ameen.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.