Habari za Punde

Barabara ya Kutoka Vuga Kwenda Shangani Inayotumika Kwa Kwenda Shangani Tu.

Kuna Baadhi ya watumiaji wa barabara za ndani katika mji mkongwe wa Zanzibar hutumia barabara hizo kinyume na maelekezo ya utumiaji huo, zinavyoonesha kama barabara hii kutoka vuga inaruhusu gari kuingia mji mkongwe kwa upande wa vuga na kutokea matika barabara ya forodhani hadi malindi. Kama inavyoonekana baadhi ya madereva hukiuka na kusababisha msongamano wa magari kutokana na kutaka kutumia njia hiyo kinyume na sheria iliowekwa na Mamlaka ya hifadhi ya mji mkongwe Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.