Habari za Punde

Wanaharakati Wakishiriki Katika Mkutano wa Kupitia Sheria Kanuni na Taratibu za Mgawanyo wa Mali Kwa Wanandoa.

Mwanaharakati Bi. Salma Maulid akiwasilisha Mada kuhusiana na Utafiti uliofanyika kuhusiana na wingi wa Talaka holela zinazotolewa kwa Wananchi wa Zanzibar, na kuwasilisha kwa Wanaharakati wakati wa Mkutano wa Kupitia Sheria Kanuni na Taratibu za Mgawanyo wa Mali Kwa Wanandoa, Mkutano huo umeandaliwa na TAMWA Zanzibar katika ukumbi wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Welesi Zanzibar.  
Meneja Utetezi TAMWA Zanzibar Bi. Hawra Shamste akizungumza na kutowa Wanaharakati Zanzibar kuhusiana na Mkutano huo wa kuzungumzia na Kupitia Sheria Kanuni na Taratibu za Mgawanyo wa Mali kwa Wanandoa Zanzibar kuhusiana na kutawala kwa Talaka Holewa na wanandoa kukosa haki zao za kimsingi na familia zao.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.