Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Kuzuiya Rushwa Afrika.

Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Haroun Ali Suleiman akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo kuhusu maadhimisho ya Siku ya mapambano ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar huko Ofisini kwake Mazizini.
Mkurugenzi  wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Makame Khamis Hassan akitoa maelezo juu madhimisho ya siku ya mapambano ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) wakifuatilia Mkutono wa Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma na Utawala Bora  Haroun Ali Suleiman uliofanyika Ofisi kwake Mazizini Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali wakichukuwa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheri na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman (hayupo Pichani) katika Mkutano wake uliojumuisha wafanyakazi wa Mamlaka ya Kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) uliofanyika Mazizini.
Picha na Miza Othman Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.