WAZIRI
wa Elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma akizungumza na walimu wakuu wa skuli za
Serikali na Binafsi Kisiwani Pemba,katika ukumbi wa skuli ya Sekondari ya
Fidelkastro. (PICHA NA HABIBA ZARALI)
WALIMU
wakuu wa skuli za Serikali na za binafsi Kisiwani Pemba wakiwa katika Mkutano
na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma uliofanyika
katika skuli ya sekondari ya Fidelkastro. (PICHA NA HABIBA ZARALI)
No comments:
Post a Comment