Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. January Yussuf Makamba Ajumuika na Wananchi wa Kizimkazi Katika Dua ya Kuwaombea Wazee wa Kijiji hicho. Wakati wa Shamrashamra za Kuadhimisha Siku ya Kizimkazi Day Kesho.

Mwakilishi wa Jimbo la Makunduzi Zanzibar Mkoa wa Kusini Unguja pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman akiwa na mgeni wake Waziri wa Nchi Ofisi yua Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Tanzania Mhe. January Yussuf Makamba wakielekea katika Msikiti kwa ajili ya kusoma hitma na kuwaombea Dua Wazee wa Kizimkazi waliokwisha kufika mbele ya haki.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.