Habari za Punde

Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Salum Ali,akizungumza na mabaraza ya Vijana ya Wilaya Kisiwani Pemba , katika mkutano wa kuwahamsisha kuingia katika mpango wa Kilimo Biashara ulianzishwa na Serikali na kupewa jukumu Wizara ya Biashara iweze kusimamia. 

Wenyeviti wa Mabaraza ya Vijana  Wilaya ya Chake Chake , Mkoani na Wete,wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Biashara juu ya mpango wa Serikali kuanzisha Kilimo Biashara kwa mabaraza ya Vijana huko katika ukumbi wakiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi  Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.