Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salum Suleiman, akimkabidhi fedha shilingi Milioni mbili na laki Tano Mkurugenzi wa Taasisi ya Baraza la Vijana Dungu,Ndg.
Phidelis Daniel Phidelis kwa ajili ya Mradi wao wa Kukusanya Maziwa ya Ngombe kwa Wakulima kwa ajili ya kusambaza katika Kiwanda cha Maziwa cha Bakhressa, katikati Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, fedha hizo zimetolea na Waheshimiwa hao ili kukamilisha ufungaji wa Umeme katika eneo la kuhifadhia maziwa hayo baada ya kuyakusanya kwa Wakulima.
TUME HURU YA UCHAGUZI INEC YATEUA WABUNGE WA VITI MAALUM
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs
Mwambegele (katikati) akiongoza kikao cha Tume kilichokutana Jijini Dodoma
l...
19 minutes ago

No comments:
Post a Comment