Habari za Punde

Mkutano wa Kumi na Moja wa Baraza la Tisa Likiendelea Katika Majengo ya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.


 Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza akiwa ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi akisikiliza michango mbalimbali inayotolewa na wajumbe katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
 Naibu Waziri Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Lulu Msham Abdalla akijibu maswali ndani ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

PICHA NO-9510-Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akiwa na wageni wake Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Mahotelini na Majumbani CHODAU nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani  Zanzibar .

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
 Muakilishi wa Jimbo la Chake chake Suleiman Sarahan Said kushoto akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Pangawe Khamis Juma Mwalim ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akiwa na wageni wake Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Mahotelini na Majumbani CHODAU nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani  Zanzibar .
Picha na Yussuf Simai /Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.