Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega Afunga Kambi ya Vijana Katika Ushiriki wa Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga. Jina

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Mhe. Abdallah Ulega, akishiriki katika  ujenzi wa jengo la Hospitali ya Wilaya Muheza Mkoani Tanga, wakati wa hafla ya ufungaji wa Kambi hiyo iliochukua siku 14  Kwa Vijana wa UVCCM kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hospitali hiyo ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga 
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Tanzania Mhe. Abdallah Ulega, akiweka tofali wakati wa hafla ya ufungaji wa Kambi ya Vijana wa UVCCM wakati wa ujenzi wa jengo la Hospitali ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.