Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu Nchini China.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la  Jiangsu nchini China, Bw.  Guo Yuan Qiang  (kushoto) kwenye ubalozi wa Tanzania  uliopo Beijing nchini China, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC.   Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Gavana  wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw.  Guo Yuan Qiang kwenye ubalozi wa Tanzania  uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Gavana wa Jimbo la  Jiangsu nchini China, Bw.  Guo Yuan Qiang  (kushoto) kwenye ubalozi wa Tanzania  uliopo Beijing nchini China, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC.   Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.