Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali afanya mazungumzo na Walimu wilaya ya Micheweni


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali  Zanzibar, Riziki Pembe Juma, akizungumza na Walimu wa Wilaya ya Micheweni , huko katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mitihani wa Chuo cha Kiislamu Kiuyu Pemba.

PICHA NA SHAABAN ALI-MICHEWENI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.