Habari za Punde

Waandishi wa habari kisiwani Pemba wapewa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia

 Ofisa wa Kampuni ya Brunswick Resousles LTD, Deosdedit Hugho,akitowa ufafanuzi wa zoezi la utafiti wa mafuta na fesi asilia lilivyokwenda na linavyoendelea katika maeneo mengine sambamba na kuwashukuru Waandishi wa habari kwa ushirikiano wao.
 Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi, Nyumba , Maji na Nishati Pemba, Juma Bakar Alawi, akizungumza na Waandishi wa habari  kuhusiana na zoezi la utafiti wa mafuta na Gesi asilia lianvyoendelea katika Kisiwa cha Pemba.

Ofisa mdhamini wizara ya Habari , Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja, akitowa ufafanuzi kwa Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali kuhusiana na kuandika habari kuhusiana na mafuta na Gesi asilia  katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Nyaraka Pemba.


PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.