Habari za Punde

Vivutio Vya Utalii Katika Mitaa ya Mji wa Zanzibar Kwa Wageni

Wageni wakiwa katika matembezi yao na kujipatia mahitaji wa bidhaa mbalimbali katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.