Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha chokaa cha Neelkanth Chemical Limited kilichopo jijini Tanga, Oktoba 30, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela, watatu kushoto ni mmiliki wa kiwanda hicho, Rashidi Liemba na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment