Habari za Punde

Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Mkoani Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia picha iliyochorwa na kijana Emanuel Makasi katika uwanja wa Chazugwa mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa kwenye uwanja wa Chazugwa mkoani Dodoma
Wananchi wa Mpwapwa wakimuangilia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia kwenye uwanja wa Chazugwa mkoani DodomaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia ngoma ya asili ya Kigogo, katika uwanja wa Chazugwa wilayani Mpwapwa Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa katika uwanja wa Chazugwa mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mpwampwa, kwenye ukumbi wa chuo cha uwalimu Mpwapwa mkoani Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mpwampwa Paul Mamba Sweya, kwenye ukumbi wa chuo cha uwalimu Mpwapwa mkoani Dodoma. 
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega, akizungumza na wananchi wa Mpwapwa katika uwanja wa Chazugwa mkoani Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mbunge wa Mpwapwa George Lubeleje katika uwanja wa Chazugwa mkoani Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa kwenye uwanja wa Chazugwa mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Gereza la Mpwapwa Norbert Ntacho, wakati akikagua shamba la korosho la Magereza wilayani Mpwapwa Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Marry, akikagua shamba la korosho la Magereza wilayani Mpwapwa Dodoma, Oktoba 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.