Habari za Punde

Uzinduzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazil Kikwajuni Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu akikata utepe pamoja na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Balozi Carlos Alfonso I.Puente kulia na kushoto Balozi wa Hishima wa Brazil Nchini Zanzibar Mr. Abdulsamad Abdulrahim, wakikata utepe huo wakati wa Hafla ya Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu akipiga makofi baada ya kukata utepe pamoja na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Balozi Carlos Alfonso I.Puente kulia na kushoto Balozi wa Hishima wa Brazil Nchini Zanzibar Mr. Abdulsamad Abdulrahim, wakikata utepe huo wakati wa Hafla ya Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazil Kikwajuni Zanzibar.
Bendera ya Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa Brazil ikipandishwa baada ya kuzinduliwa kwa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazuil Nchini Zanzibar katika mitaa ya kikwajuni Zanzibar.
Wageni waalikwa Mabalozi Wadogo Wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa upandishaji wa Bendera katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi za Ubalozi Mdogo wa Brazil Kikwajuni Zanzibar.
Waheshimiwa wageni waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, kulia akimsikiliza Balozi wa Heshima wa Brazil Zanzibar Mr. Abdulsamad Abdulrahim akitowa maelezo baada ya ufunguzi wa Ofisi hiyo kushoto Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Balozi Carlos Alfonso, wakitembelea Ofisi hiyo baada ya ufunguzi wake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi Gavu (katikati)kulia Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Balozi Carlos Alfonso na kushoto Balozi wa Heshima wa Brazil Zanzibar Mr. Abdulsamad Abdulrahim, wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya Ufunguzi wa Ofisi Ndogo ya Ubalozi wa Brazil Zanzibar.
Wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazil Nchini Zanzibar katika Mtaa wa Kikwajuni Zanzibar.
Wageni waalikwa Mabalozi Wadogo wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazil Nchini Zanzibar katika Mtaa wa Kikwajuni Zanzibar.
Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Ofisi Ndogo ya Ubalozi wa Brazil Zanzibar wakihudhuria hafla hiyo katika viwanja vya Ofisi hiyo Kikwajuni Zanzibar.
Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Ofisi Ndogo ya Ubalozi wa Brazil Zanzibar wakihudhuria hafla hiyo katika viwanja vya Ofisi hiyo Kikwajuni Zanzibar.

Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Balozi Carlos Alfonso akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ofisi za Ubalozi Mdogo wa Brazil Nchini Zanzibar katika mtaa wa Kikwajuni Zanzibar.kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, Balozi wa Heshima wa Brazil Nchini Zanzibar Mr. Abdulsamad Abdulrahim, wakifuatilia hutuba ya Balozi wakati wa ufunguzi huo.
Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Balozi Carlos Alfonso akisisitiza jambo wakati akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Ofisi za Ubalozi Mdogo wa Brazil Nchini Zanzibar uliofunguliwa katika mitaa ya Kikwajuni. 
Balozi wa Heshima wa Brazil Nchini Zanzibar Mr. Abdulsamad Abdulrahim akihutubia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Brazil Nchini Zanzibar, kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmin kuufungua Ubalozi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu kuhutubia hadhara hiyo.  
Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo ya ufunguzi wa Ofisi za Ubalozi Mdogo wa Brazil Nchini Zanzibar uliopo katika Mtaa wa Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Brazil Nchini Zanzibar  uliofanyika katika viwanja vya Ofisi hiyo kikwajuni Zanzibar, kulia Balozi wa Brazil Nchini Tanzania Carlos Alfonso na kushoto Balozi wa Heshima wa Brazil Zanzibar Mr.Abdulsamad Abdulrahim,   No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.