Habari za Punde

PBZ Bonaza 2018 Viwanja Vya Pwani ya Kendwa Rocks Zanzibar Kwa Michezo Mbalimbali.

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited wakishiriki katika mchezo wa resi za magunia wakati wa Michezo ya Bonaza la Pili PBZ, 2018,lililofanyika katika viwanja vya Ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.   
Mshindi wa Kwanza wa mbio hizo za magunia wakati wa michezo ya Bonaza la Pili PBZ 2018, katika viwanja vya Ufukwe wa Pwani ya Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited PBZ Wanawake wakishiriki mbio za magunia katika michezo ya Bonaza la Pili la PBZ 2018, lililofanyika katika viwanja vya ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mshindi wa Kwanza wa Mbio za Magunia kwa upande wa Wanawake katika michezo ya Bonaza la Pili la PBZ 2018, lililofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja akimaliza mbio hizo. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.