Habari za Punde

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili Rais wa Zanzibar Azungumza na Wakanyakazi wa Ofisi Hiyo Pemba.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Seif Shaabana Mohamed, akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi yake Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Tasaf Chake Chake, baada ya kuzitembelea taasisi hizilizochini ya Ofisi yake.
Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba Ali Salim Mattar, akizungumza na wafanyakazi wa taasisiyake kabla ya kumkaribisha katibu mkuu wa wizara hiyo ili kuzungumza na wafanyakaizi
BAADHI ya wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Ofisi hiyo Zanzibar Seif Shaaban Mohamed, wakati alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa Tasaf Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.