Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Wawi Hadi Mabaoni Kisiwani Pemba. Yenye Urefu wa KM 3. Kwa Kiwango cha Lami Umeaza Maandalizi ya Ujenzi Huo Unaofanywa na Kampuni ya MECCO.

Afisa Mdhamini wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba,Ndg Hamad Ahmed Baucha akizungumza na viongozi wa kamatii ya siasa ya Mkoa wa wakati wa ziara yao kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara kutoka Wawi hadi Mabaoni Wilaya ya Chakechake Pemba.Ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020.
Burdoza la Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, kikifanya usafi wa kuondosha mabaki ya barabara ya Wawi Mabaoni yenye urefu wa KM 3 ambayo inajengwa na Kampuni ya MECCO.
Burdoza la Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba, kikifanya usafi wa kuondosha mabaki ya barabara ya Wawi Mabaoni yenye urefu wa KM 3 ambayo inajengwa na Kampuni ya MECCO 


Wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa wakusini Pemba wakibadilishana mawazo katika raundi ya bauti ya barabara ya ole kengeja, uwanja wa ndege inayojengwa na Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.