Habari za Punde

Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba

 NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akipata maelezo jinsi ya kuliendesha Trekta kabla ya uzinduzi wa msimu wa kilimo zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wananchi na wakulima wa Pujini katika Bonde la Gurumo, wakimuangalia Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, wakati akizindua msimu wa Kilimo Zanzibar 2018/2019 kwa kulima moja ya mashamba ya wakulima, uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


  NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akizindua msimu wa kilimo Zanzibar 2018/2019  kwa kulima katika moja ya mashamba ya wakulima Pujini,  uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akiwaongaza baadhi ya matrekta katika uzinduzi wa msimu wa kilimo  Zaznibar 2018/2019 kwenye  moja ya shaba la wakulima katika bonde la Ngurumo Pujini,  uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


 NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akizungumza na wakulima mbali mbali wa shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake, baada ya  uzinduzi wa msimu wa kilimo Zanzibar 2018/2019, uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya Materkta ya Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar yakiendelea na zoezi la kuwalimia wananchi wa Bonde la Ngurumo Wilaya ya Chake Chake, baada ya kukamilika kwa zoezi la uzinduzi wa msimu wa kilimo Zanzibar 2018/2019  uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.