Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Afunguz Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed,baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar akihudhuria Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania, uliofanyika leo 23/11/2018. katika ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania Dr. Enesmo Kisanga,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.