Muonekano wa Marikiti Kuu Darajani wakati wa Usiku leo kama inavyoonekana picha wakati huu wananchi wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji yao kwa matumizi ya nyumbani. Wananchi wa Mji wa Zanzibar hufika katika marikiti hii kupata majitaji yao wakati wa Soko la Jioni.
WADAU WAPONGEZA JUHUDI ZA WAZAZI KUTATUA CHANGAMOTO ZA ELIMU WILAYA YA
MPIMBWE
-
*Sehemu ya wazazi wakiwa katika mikutano na washiriki wa Maadhimisho ya
Juma la Elimu (GAWE) 2025, kwenye ziara katika shule mbalimbali ndani ya
Halma...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment