NAIBU waziri wa
Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Atashasta
Nditiye wakanza kulia akiwa katika boti akielekea katika Chumba cha Chini ya
bahari huko makangale wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba pamoja na wajumbe
wake aliofuatana nao
NAIBU waziri wa
Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Atashasta
Nditiye wakanza kulia akiwa katika boti akielekea katika Chumba cha Chini ya
bahari huko makangale wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba pamoja na wajumbe
wake aliofuatana nao
CHUMBA cha chini ya
bahari kikiwa kinaelea katika bahari ya Makangale Wilaya ya Micheweni Mkoa wa
Kaskazini Pemba
NAIBU waziri wa
Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Atashastar
Nditiye, akiteremka katika boti mara baada ya kuangalia chumba cha Chini ya
bahari huko Makangale
MBUNGE wa Viti
Maalumu Mkoa wa Kaskazini Pemba Maida Hamad Bakari, akiutambulisha ugenzi wa
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Atashasta Nditiye, wakati ulipofika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Pemba kwa lengo la kujitambulisha kwao
MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman, akizungumza katika kikao na watendaji
kutoka Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
ulipofika katika ofisi yake kujitambulisha ukiongozwa na Naibu waziri wa Wizara
hiyo Atashasta Nditiye
NAIBU waziri wa Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Atashastar Nditiye, akizungumza katika kikao cha Pamoja na
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba juu ya lengo la ziara hiyo kuangalia maeneo
ambayo usikivu wa mawasiliano ni hafifu.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment