Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Akumuaga Waziri Mkuu wa Misri Dkt.Mostafa Madbouly.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na Waziri Mkuu  wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly  kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaa wakati mgeni huyo  alipoondoka nchini kurejea nyumbani, Desemba 12, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.