Habari za Punde

Baraza la Mji Chakechake Lachangia Viafaa Vya Elimu Skuli za Mgelema na Pembeni Kisiwani Pemba.

MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake Salama Abuu Hamad akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi Pembeni Hamim Khamis Kazuba mabuku kwa niaba ya walimu wakuu wa Skuli zote za msingi na maandalizi za Wilaya hiyo,katikati ni Ofisa wa elimu Wilaya ya Chake Chake Abdalla Omar Muya

MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake Salama Abuu Hamad akimkabidhi mabuku Msaidizi Mwalimu Mkuu Skuli ya Msingi Mgelema Fatma Khamis Kali kwa niaba ya walimu wakuu wa Skuli zote za msingi na maandalizi za Wilaya hiyo,katikati ni Ofisa wa elimu Wilaya ya Chake Chake Abdalla Omar Muya.
.(Picha na Said Abdulrahman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.