Habari za Punde

Maandalizi ya Ujenzi wa Mabanda ya Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Kisiwani Pemba Yaaza. Kwa Taasisi Mbalimbali Kuaza Ujenzi huu leo.

Matayarisho ya Ujenzi wa Mabanda ya Maonesho ya Siku ya Sheria Duniani yatakayofanyika katika viwanja vya nje Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba, Yatakayoshirikisha Taasisi mbalimbali za Serikali, Mashirika ya Umma na Binafsi yanayotarajiwa kuaza kesho kwa ufunguzi wake kufunguliwa na Waziri wa Sheria Katiba na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, hapo kesho.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.