Habari za Punde

Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Abdalla Juma Sadala (Mabodi) , akishiki kuimba Wimbo maalumu wa Mapinduzi wa "Sisi  sote tumegomboka" pamoja na WanaCCM mbali mbali huko katika ukumbi wa Skuli ya Moh'd Juma Pinduwa -Mkoani Pemba , baada ya kuzinduwa matembezi ya Vijana wa CCM (UVCCM), Tanzania ikiwa ni miongoni mwa shamra Shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.
Baadhi ya Vijana wa UVCCM Tanzania , wanaoshiriki matembezi maalumu ya kuunga mkono sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar, wakiwa na bango lenye ujumbe mahsusi kwa ajili ya kuunga mkono matembezi hayo.

Baadhi ya Vijana wa CCM Tanzania, wanaoshiriki katika matemdezi maalumu ya kuunga mkono Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar, wakimskiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Abdalla Juma Sadala (Mabodi) huko Kisiwani Pemba.
Picha na Bakari Mussa - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.