MOJA ya mahanga ya
askari wa KM KM kituo cha Makombeni Wilaya ya Mkoani, yaliyowekewa jiwe la
msingi la Wawizi wa Fedha na Mipango DR Khalid Salum Mohamed, ikiwa ni shamra
shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Fedha na
Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akisalimiana
na Afisa Mdhamini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara
maalumu za SMZ, Juma Nyasa Juma mara baada ya kuwasili makombeni katika uwekaji
wajiwe la msingi hanga la askari wa KM KM ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya
Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa Fedha na
Mipango Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akikunjuwa kitambaa kuashiria
uwekeaji wa jiwe la msingi mahanga ya askari wa KM KM kituo cha Makombeni
Wilaya ya Mkoani, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WAZIRI wa fedha na
Mipango Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akikagua baadhi ya majengo ya mahanga
ya askari wa KMKM kituo Makombeni Wilaya ya Mkoani, ikiwa ni shamra shamra za
miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar
VIONGOZI mbali mbali
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini taarifa ya
kitaalamu ya ujenzi wa mahanga hayo ya KM KM Kituo cha Makombeni Wilaya ya
Mkoani ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wananchi wa Makombeni
Wilaya ya Mkoani mara baada ya kuwekewa mawe ya Msingi Mahanga ya askari wa KM
KM, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
NAIBU waziri wa
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mita na Idara
maaluza SMZ Shaamata Shaame Khamis, akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe
la msingi mahanga ya askari wa KM KM Makombeni Wilaya ya Chake Chake, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Fedha na
Mipango Zanzibar Dr Khalid Salum Mohamed, akizungumza na wananchi wa Makombeni
Wilaya ya Mkoani, mara baada ya kuweka jiwe la Msingi mahanga ya KM KM
Makombeni, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
wakiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dr Khalid Salum Mohamed, wakiwa
katika picha ya pamoja na askari wa KM KM mara baada ya kuweka jiwe la msingi
mahanga KM KM Kituo cha Mkombeni, ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)
No comments:
Post a Comment