| Waziri wa Maji Proffesa Makame Mbarawa kushoto akizungumza wakati alipofanya ziara yake wilaya ya Tanga kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi. |
| Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi k,ushoto anayemsikiliza kwa umakini ni Waziri wa Maji Proffesa Makame Mbarawa |
| Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly akisistiza jambo wakati wa ziara hiyo |
| Afisa Raslimali watu wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Haika Ndalama akizungumza wakati wa ziara hiyo |

No comments:
Post a Comment