Habari za Punde

UZINDUZI WA UTIAJI DAWA MAJUMBANI WAFANYIKA ZANZIBAR.

Baadhi ya Watia Dawa majumbaji waliohudhuria katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja.Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Mtiaji Dawa za Majumbani akifanya kazi ya Utiaji dawa baada ya Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Kikundi cha Utamaduni cha vijana Ngoma kutoka Amani Mkoa kikitumbuiza katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Afisa mipango Wilaya ya Kati  Ali Omar Makame akitoa hotuba ya makaribisho   katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kati Mashavu Saidi Sukwa akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhurika katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira  Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.