Habari za Punde

Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro

 MAFUNDI wanaotengeneza mtaro wa maji machafu katika eneo la Mtoni wilaya ya Chake Chake wakitoa uchafu katika mtaro huo, kwa lengo la kumwagwa zege ili maji yaweze kupita kwa urahisi, hususan katika mvua zinazokuja za masika ili zisiweze kuleta madhara.(PICHA NA HANIFA SALIM , PEMBA).

MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid, akiangalia uchafu uliotolewa ndani ya mtaro wa maji machafu mtoni, baada ya kusafishwa kushoto ni Mkurugenzi wa Baraza la Mji Chake Chake Salma Abuu Hamada.(PICHA HANIFA SALIM)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.