Habari za Punde

Tumia EzyPesa ya Zantel yaendelea kumwaga fedha na simu za kisasa kwa washindi


Afisa Mauzo wa Zantel kanda ya Pemba, Said Masoud Ali (kulia) akimkabidhi kitita cha shilingi laki mbili mmoja wa washindi kupitia promosheni ya Tumia EzyPesa Ushinde, Mohamed Nassor, katika  hafla iliyofanyika katika ofisi za Zantel ChakeChake Pemba


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.