Habari za Punde

Zantel yamwaga zawadi Promosheni ya Ezypesa Pemba

MSHINDI wa shilingi Laki mbili Mohamed Nassor kushoto akipokea fedha zake kutoka kwa Mmoja ya watoa huduma kutoka Ofisi ya Zantel Kisiwani Pemba,  Said Massoud Ali hafla iliyofanyika mjini Chake Chake.(.PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MSHINDI wa Kwanza wa Promosheni ya Ezypesa aliyejishindia shilingi Milioni Moja mwakilishi kutoka Kampuni ya Tahfif Auotopart Abdalla Salum Nassor akipokea fedha zake na tishati, kutoka kwa menenja wa Zantel Pemba Yakub Fadhil Ali.(.PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

 Meneja wa Uhusiano na mawasiliano kutoka Zantel Rukia Mtingwi, akijadiliana jambo na washindi wa fedha Taslim mara baada ya kuwakabidhi fedha zao, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washidi wa Promosheni ya Ezypesa ushinde, hafla iliyofanyika katika ofisi yao Chake Chake Pemba(.PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
 MSHINDI wa kwanza wa shilingi Milioni Moja Abdalla Salum Ali ambaye ameiwakilisha Kampuni ya Tahfif Auotopart, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa fedha zao.(.PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MENEJA wa uhusiano na mawasiliano kutoka Zantel Rukia Mtingwi, akimkabidhi zawadi ya simu na tishati mshindi wa simu Aza Januari Joseph.(.PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.