Habari za Punde

Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao.

 
AFISA Elimu Wilaya ya Micheweni Tarehe Khamis akizungumza na wananchi wa Msuka Mashariki, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo juu ya kuanzishwa kwa mpango wa mashauriano utakaoweza kuwafanya wakaibua vipaombele vyao, mkutano  uliofanyika katika Viwanja vya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni. 
AFISA Mipango Kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa  Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Pemba, Juma Faki Mtumweni akizungumzia mikakati ya Tawala za Mikoa katika suala zima la madaraka mikoani katika kuwasaidia wananchi, wakati wa mkutano wa mashauriano uliofanyika katika viwanja vya ungi Msuka
MRATIBU wa Taasisi ya Milele  Zanzibar Foundation ofiis ya Pemba, Abdalla Said Abdalla (DULA DII) akizungumzia mikakati ya taasisi ya Milele, kwa wananchi wa Msuka Mashariki wakati wa Mkutano wa Mashauriano uliofanyika katika Viwanja vya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni.


AFISA Miradi kutoka Milele Zanzibar Faoundatin Aleis Mushi, akitoa maelezo juu ya wananchi kutoa vipaombele vyao wakati wamkutano wa mashauriano uliofanyika katika viwanja vya msuka mshariki Wilaya ya Micheweni
WANANCHI wa Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatia ufunguzi wa mkutano wa mashauriano utakoweza kuwapa nafasi ya kuibua vipaombele vitakavyoweza kuwasaida hapo baadae, mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.