Habari za Punde

Wananchi wa Kijiji Cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango Shirikishi.

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni,Ndg. Suleiman Juma Pandu, akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo ya siku sita ya mpango shirikishi shehia ya msuka mashariki.
MRATIB wa taasisi ya Milele Zaznibar Foundation Ofisi ya Pemba, Abdalla Said Abdalla akizungumza na wananchi wa msuka mashariki, mara baada ya ufungaji wa mafunzo ya siku sita juu ya mpango shirikishi ulioibuliwa na taasisi.
 (Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.