Habari za Punde

Wafanyakazi Wizara ya Afya Zanzibar Wapata Elimu ya Utumishi wa Umma.

Afisa Mchambuzi Kazi Ofis ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Maulid Shaib Amada akitoa mada ya upimaji utendaji kazi watumishi wa umma kwa wafanyakazi wa Wizara ya Afya, hafla iliyofanyika Ukumbi wa mikutano Wizara ya Afya Mnazimmoja.

Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo wakati ikiwasilisha Mada kuhusiana na Utumishi wa Umma kwa Wafanyakazi wa Serikali, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.