Habari za Punde

Ujenzi wa Daraja katika Eneo la Kibonde Mzungu Likiwa Katika Hatua za Mwisho za Umaliziaji Wake.

Daraja la barabara ya kibonde mzungu  likiwa katika hatua za mwisho ya ujenzi huo baada ya kukamilika kwa kiasi kikubwa na kwa sasa ikiwa  katika hatua za kuweka vidaraja vya ukindo wa barabara hiyo na kuaza kutumika kwa magari yanayoelekea katika Mkoa wa Kusini Ungyuja na kupita bila tabu, kama linavyoonekana pichani hali halisi ya daraja hilo. Siku za nyuma kipindi cha mvua za masika eneo hili hujaa maji na kuleta maafa na kukosa kupitika kutokana na kujaa maji hadi juu ya barabara hiyo ilioyopita katika daraja hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.