Habari za Punde

Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani Amefika Ikulu Zanziibar Kwa Mazungumzo na Kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Me.Dk. Ali Mohamed Shein zungumza na Ra

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar leo.kushoto Mwakilishi wa UNICEF anayefanyika Kazi zake Nchini Zanzibar Bi. Maha Damaj    
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania akiwa na Mwakilishi wa UNICEF anayefanyia Kazi zake Nchini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zamani alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga leo. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.