Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli Amuapisha Mkuu wa Mkoa wa Mpya Jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera akila kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.