Habari za Punde

Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Yafutarisha Wateja Wao Zanzibar Katika Viwanja vya Ngome Kongwe Zanzibar.

Afisa wa Mawasiliano wa Benki ya Diamond Trust Bank Tanzania Selevester Bahati akizungumza wakati wa hafla ya Futari iliofanyika katika viwanja vya Bustani ya Ngome Kongwe iliofanyika  jana Jijini Zanzibar, na kuwajumuisha Wateja wao wa Tawi la Zanzibar na Wananchi mbalimbali. Mgeni Rasmin Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.