Habari za Punde

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza Awaasa Vijana Kuthamini Vipaji Vyao Micheano ya Masauni Jazeerah Cup Zanzibar UTHAMINI VIPAJI VYAO

Naibu  Waziri  wa  Wizara  ya  Habari  Utamaduni  Sanaa  na  Michezo, Juliana  Shonza  akisalimiana  na  wachezaji  wa  timu  ya Miembeni  kabla ya  kuanza kwa  mchezo  wa  Nusu  Fainali  ya  Kombe  la  Masauni/Jazeera  uliofanyika katika  Viwanja  vya  Tumbaku, Visiwani  Zanzibar

Naibu  Waziri  wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza  akisalimiana  na  wachezaji  wa  timu ya Kundemba, kabla  ya kuanza kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe  la  Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja  vya Tumbaku, Visiwani  Zanzibar.
Mbunge  wa  Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi  Hamad  Masauni, akizungumza kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza
Naibu Waziri  wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza  akizungumza  kabla  ya  kuanza  mchezo  wa Nusu Fainali wa Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kushoto  ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni.
Picha na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.